MBUNGE MWINGINE WA CUF AJIUNGA CCM

Juma Hamad Omari  ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ole, Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kwa tiketi ya CUF ameomba kujiunga na CCM na kujivua vyeo vyake vyote ndani ya CUF.Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Chama cha Mapinduzi-CCM, Mbunge huyo akiambatana na Wanachama wa CUF na ACT 564 amepokelewa na   Katibu Mwenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post