PICHA: Viongozi Mbalimbali wa CHADEMA Na Wafuasi Wao Wafurika Mahakama ya Kisutu ....Hukumu Imesogezwa Mbele Hadi Saa Saba

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefurika wafuasi wa Chadema na ulinzi umeimarishwa kwa askari kila kona  kabla ya muda wa hukumu.
Wafuasi hao walianza kumiminika eneo la mahakama tangu saa moja asubuhi wakisubiri hukumu ya vigogo wa Chadema akiwemo Mwenyekiti, Freeman Mbowe

Hukumu hiyo  ilitarajiwa kusomwa saa nne na nusu asubuhi   lakini imesogezwa mbele hadi saa saba na nusu mchanaDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post