MAALIM SEIF SHARIF HAMAD ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, March 15, 2020

MAALIM SEIF SHARIF HAMAD ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO

  Malunde       Sunday, March 15, 2020

Maalim Seif Sharif Hamad amechaguliwa kuwa mwenyekti mpya wa chama cha ACT- Wazalendo huku Zitto Kabwe akitetea nafasi kiongozi wa chama hicho kwa mara ya pili mfululizo katika uchaguzi uliofanyika jana Machi 14, 2020.

Kwa matokeo hayo Maalim Seif ambaye pia ni mshauri mkuu wa ACT-  Wazalendo anakuwa mwenyekiti wa pili wa chama hicho tangu kuanzishwa kwake mwaka 2014.

Maalim Seif na Zitto Kabwe ambaye ni mbunge wa Kigoma Mjini walichaguliwa usiku wa kuamkia leo Jumapili Machi 15, 2020 katika mkutano mkuu wa pili wa chama hicho uliokuwa na ajenda mbalimbali ikiwemo ya uchaguzi wa viongozi wa nafasi ya uenyekiti na kiongozi wa ACT- Wazalendo.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post