RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA YA KIKAZI VISIWANI ZANZIBAR LEO | MALUNDE 1 BLOG

Friday, January 10, 2020

RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA YA KIKAZI VISIWANI ZANZIBAR LEO

  Malunde       Friday, January 10, 2020

Rais Magufuli aliyekuwa mapumzikoni nyumbani kwake, Chato mkoani Geita amewasili jana Alhamisi Januari 9, 2020 jijini Dar es Salaam.


Mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na mkewe, Janeth, Rais Magufuli alisalimiana na baadhi ya wafanyakazi katika uwanja huo.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais- Ikulu ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema leo  Ijumaa Januari 10, 2020 Rais Magufuli ataanza ziara ya kikazi ya siku tano visiwani Zanzibar.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post