MALUNDE 1 BLOG
  • Habari
  • Shinyanga
  • Afya
  • Michezo
  • Burudani
  • Matukio
  • Magazeti
  • Nyimbo za Asili
  • Vituko

Habari Mpya

6/recent/ticker-posts
HomehabariBreaking : MATOKEO YA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI NA KIDATO CHA NNE YAMETANGAZWA..ANGALIA HAPA

Breaking : MATOKEO YA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI NA KIDATO CHA NNE YAMETANGAZWA..ANGALIA HAPA

Thursday, January 09, 2020



>> Matokeo kidato cha pili haya hapa

>>Matokeo Darasa la nne haya hapa

>>Matokeo kidato cha nne haya hapa
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne.

Katika matokeo hayo yaliyotangazwa leo Alhamisi Januari 9, 2020 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema ufaulu katika mtihani wa upimaji wa darasa la nne umeongezeka kwa asilimia 26.21.

Jumla ya watahiniwa 1,531,120 kati ya wanafunzi 1,665, 863 wamepata alama A,B,C na D ikilinganishwa na wanafunzi 1,213, 132 waliofaulu mwaka 2018.

Katika mtihani wa upimaji kidato cha pili, wanafunzi 514,251 sawa na asilimia 90.04 kati ya wanafunzi 571,137 wamefanya vizuri katika mtihani huo na kuwawezesha kuingia kidato cha tatu.
Dk Msonde amesema mtihani wa kidato cha nne jumla ya watahiniwa 340,914 sawa na asilimia 80.65 ya watahiniwa 422,722 wameefaulu mitihani yao.

Watahiniwa hao ni sawa na ongezeko la asilimia 1.38 ikilinganishwa na watahiniwa 284,126 sawa na asilimia 79.27 waliofaulu mtihani huo mwaka 2018.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
habari
  • Newer

  • Older

Anonymous

Posted by Anonymous

You may like these posts

Social Plugin

TAFUTA HABARI

MAFUNZO NA LESENI

MAFUNZO NA LESENI
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285

WhatsApp Wasiliana nasi WhatsApp

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

AFYA

3/afya/post-list

SHINYANGA

5/shinyanga/post-list

NYIMBO ZA ASILI

5/nyimbo%20za%20asili/post-list

CHAGUA HABARI - TAGS

  • Digitali
  • Elimu
  • Gospel
  • Injili
  • Kadama Malunde
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Kuhusu Malunde 1 blog
  • MUZIKI
  • Matangazo
  • PAP
  • SANAA
  • Vanilla
  • burudani
  • habari
  • hoteli
  • ikulu
  • jambo
  • kilimo
  • kishapu
  • magazetini
  • mahafali
  • makala
  • malunde
  • mapenzi
  • mastaa
  • matukio
  • michezo
  • nyimbo za asili
  • picha
  • sherehe
  • shinyanga
  • siasa
  • tamthilia
  • tangazo
  • urembo
  • utalii
  • utamaduni
  • utamaduni lake zone
  • video
  • vituko

HABARI MCHANGANYIKO

6/random/post-list

MAPENZI

6/mapenzi/post-list

MATUKIO

3/matukio/post-list

MALUNDE 1 BLOG

Hii ni Blogu ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari, Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua. Wasiliana nasi +255757478553 au malundeblog@gmail.com

WhatsApp Wasiliana nasi WhatsApp

Footer Menu Widget

  • Home
  • About
  • Contact Us
Copyright © MALUNDE 1 BLOG