JAMAA WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI BAADA YA KUIBA POMBE | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, January 2, 2020

JAMAA WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI BAADA YA KUIBA POMBE

  Malunde       Thursday, January 2, 2020

Jamaa wawili wamefikishwa mahakamani Jumanne ,Disemba 31, 2019 baada ya kukashifiwa kwa kuiba chupa sita za pombe aina ya Jameson. Daniel Mbugua na Cliff Obonyo ambao ni wafanyakazi wa kampuni ya Mitchel Cot wanasemekana kutekeleza kitendo hicho Disemba 17, wakiwa mtaani Embakasi. 

Pombe hiyo ni ya thamani ya KSh 15,000. 

Washukiwa hao wanasemekana kuficha pombe hiyo kwenye gari la kampuni ambalo husafirisha mizigo na bidhaa.

 Wawili hao walikana mashtaka dhidi yao na kuachiliwa kwa dhamana ya KSh 20,000 kila mmoja. Kesi dhidi yao itasikizwa tena Aprili 28, 2020. 
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post