Serikali ya Oman imeihakikishia serikali ya Tanzania kuwa miradi yote ya maendeleo iliyoahidiwa na Oman chini ya uongozi wa Sultan Qaboos Bin Said Al Said aliyefariki siku chache zilizopita itatekelezwa.
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Ok