RAIS MAGUFULI AWATAKIA HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA WATANZANIA WOTE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo  Jumapili Desemba 22, 2019 amejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa na ametumia nafasi hiyo kuwatakia heri ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527