
Wimbo UNO wa msanii Harmonize umeondolewa kwenye mtandao wa YouTube baada ya mtayarishaji Magix Enga wa nchini Kenya kudai kuwa Harmonize ameiba Beat katika wimbo aliotayarisha uitwao Dundaing wa King Kaka feat. Kristoff.
Kupitia ukarasa wake kwenye mtandao wa Instagram Magix alisema “Week Imeisha and The song Uno is no longer on YouTube Don’t sample magix Enga Beats. I repeat, dont! Like I said i’m not going to allow this to happen not in 254 🇰🇪.”

Social Plugin