TECNO YAJA NA OFA YA KIBABE, TUNU ZA TECNO | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, November 26, 2019

TECNO YAJA NA OFA YA KIBABE, TUNU ZA TECNO

  Malunde       Tuesday, November 26, 2019

Kampuni ya simu maarufu Tanzania na Barani Afrika, TECNO Mobile imekuja na Ofa ya kibabe inayotambulika kwa jina la “TUNU ZA TECNO” yenye malengo ya kuwanufaisha wateja wake katika msimu huu wa sikukuu. Ofa ipo hivi, kwa kila mteja atakayenunua simu ya TECNO Spark 4 Air au simu yoyote katika Camon 12 series atakuwa ameingia moja kwa moja katika droo ya kushindania zawadi kemkem ikiwemo shopping voucher yenye thamani hadi Tsh 500,000 pamoja na King’amuzi cha DSTV chenye Offer ya Compact Bure. 


Droo kubwa zitachezeshwa Tarehe 14 Disemba na 21 Disemba. 


Ofa hii ni kuanzia tarehe 26 Novemba hadi tarehe 24 Disemba katika maduka yote ya TECNO Tanzania, wahi sasa kwani hata wewe unaweza kuwa mshindi.

Kwa maelezo zaidi tembelea https://www.tecno-mobile.com
 Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post