WIMBO WA VITAMIN U WAMPONZA MSANII ROSA REE.... AFUNGIWA NA BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limemfungia msanii wa Bongofleva nchini Tanzania, Rosa Ree kutojihusisha na muziki kwa miezi 6.

Hii ni kutokana na video ya wimbo wa Vitamin U aliyoshirikishwa na msanii Timmy Tdat wa Kenya kutokuwa na maadili na tayari video hiyo imeondolewa kwenye mtandao wa YouTube.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post