HAJI MANARA: SIMBA NI KLABU BINGWA YA TAIFA HILI | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, November 3, 2019

HAJI MANARA: SIMBA NI KLABU BINGWA YA TAIFA HILI

  Malunde       Sunday, November 3, 2019
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amefunguka mambo kadhaa kuhusiana na kikosi cha timu hiyo kuelekea mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City leo;Nyie ni Klabu Bingwa ya taifa hili,nyie ni timu bora kupita zote Afrika Mashariki na ya kati kwa sasa! Nyie ni Wachezaji mnaoishi comfortable kuliko wachezaji wengine wowote ktk ukanda huu wa Afrika!!


Na nyie ndio Timu maarufu kupita zote ktk Zone hii, na mmetajwa na CAF ni klabu ya kumi na Sita bora Afrika nzima!!Nadhan mtakuwa mmeelewa Wanasimba wanahitaji nn jioni ya leo hapa Uhuru Stadium,hususan baada ya kupoteza Kwenye last game!!No Excuse today zaidi ya ushindi, hamtaeleweka na mm mtaninifanya niiasi insta kwa muda bila sababu!!! Nipo huku Cairo nikiamini Mtatenda kitakachotendwa hapa ilipoishi Mitume mingi. Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post