Picha : RAIS MAGUFULI AWASILI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU NA KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteremka kutoka katika ndege aina ya Bombadier ya ATCL alipowasili Uwanja wa Ndege wa Mtwara tayari kuelekea mkoani Lindi kuhudhuria sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Mji wa Mikindani waliokuwa wakisherehekea Siku ya Mikindani katika tamasha kubwa la utamnaduni la Urithi wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Lindi kuhudhuria sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Uwanja wa hedge wa Mtwara Bw. Jackson Elia baada ya kushuka kutoka katika ndege aina ya Bombadier ya ATCL mara tu alipowasili tayari kuelekea mkoani Lindi kuhudhuria sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakwanwa mara baada ya kushuka kutoka katika ndege aina ya Bombadier ya ATCL alipowasili tayari kuelekea mkoani Lindi kuhudhuria sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Mnazi Mmoja akiwa njiani kuelekea mkoani Lindi kuhudhuria kwenye sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527