MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO AWAMU YA PILI 2019/20 | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, October 27, 2019

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO AWAMU YA PILI 2019/20

  Malunde       Sunday, October 27, 2019

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya majina ya wanafunzi 11,378 wa mwaka 2019/2020 waliopata mkopo wa awamu ya pili.

Mkurugenzi mtendaji wa HESLB,  Abdul-Razaq Badru ametoa taarifa  Jumamosi Oktoba 26, 2019 na kubainisha kuwa waliopata mikopo hadi sasa ni 42,053 wa mwaka wa  kwanza. Amesema mkopo waliopata ni sawa na Sh148,56 bilioni.

Badru amesema mwaka 2019/20, Serikali imetenga Sh450 bilioni kwa ajili ya wanafunzi 128,285.

Amebainisha kuwa kati ya wanafunzi hao,  zaidi ya 45,000 ni wa mwaka wa kwanza na  83,285 ni wanafunzi wenye mikopo wanaoendelea na masomo.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post