ASKOFU MKUU JIMBO LA DAR ES SALAAM RUWA’ICHI ATOLEWA ICU.....APELEKWA WODI YA KAWAIDA | MALUNDE 1 BLOG

Monday, September 16, 2019

ASKOFU MKUU JIMBO LA DAR ES SALAAM RUWA’ICHI ATOLEWA ICU.....APELEKWA WODI YA KAWAIDA

  Malunde       Monday, September 16, 2019

Mhashamu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Yuda Ruwa’ichi, hali yake imeendelea kuimarika na sasa amehamishiwa katika wodi ya kawaida kutoka katika chumba cha ICU.


Hayo yameelezwa leo Jumatatu Septemba 16, 2019 katika taarifa ya kitengo cha uhusiano cha taasisi ya Mifupa(Moi) iliyosainiwa na Patrick Mvungi.

“Jopo la wataalam saba wanaomhudumia Ruwai’chi limeamua kumhamisha baada ya kujiridhisha na maendeleo ya afya yake.”

“Limefanya uamuzi huo leo asubuhi baada ya kufanya tathmini ya vipimo pamoja na taarifa mbalimbali za maendeleo yake tangu alipopokelewa Moi na kufanyiwa upasuaji Septemba 9, 2019,” inaeleza taarifa hiyo.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post