WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUTAMBUA MIILI YA WAPENDWA WETU WALIOFARIKI KWA MOTO MOROGORO


Wananchi wamejitokeza kwa katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya Morogoro karibu kabisa na chumba cha kihifadhia maiti cha hospitali ya mkoa, ambapo zoezi la kutambua na kuaga miili ya waliofariki kwa ajali mkoani Morogoro linafanyika.

Ajali hiyo ilitokea jana Jumamosi Agosti 10, 2019 katika kijiji cha Itigi, Msamvu mkoani Morogoro baada ya lori la mafuta kupinduka na kuwaka moto muda mfupi baada ya watu kuanza kuchota mafuta.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post