MREMBO SYLIVIA SEBATIAN BEBWA ASHINDA TAJI LA MISS TANZANIA KWA MWAKA 2019

Mrembo Sylivia Sebatian Bebwa toka kanda ya ziwa, ameshinda taji la Miss Tanzania kwa mwaka 2019, katika shindano lililofanyika ukumbi wa Kisena Millennium Tower, Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Jumamosi Agosti 24,2019.

Sylivia anatokea Jijini Mwanza akiwa ni mshindi wa Miss Mwanza 2019 lakini pia mshindi wa Miss Lake Zone. 

Kutoka na ushindi huo, Silvia ameondoka na kitita cha Sh10 milioni huku mshindi wa pili Grayres Amos akiondoka na sofa yenye thamani ya Sh2 milioni na mshindi wa tatu Qeen Antony akiondoka na Sh1 milioni moja.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post