MAJERUHI WENGINE 3 AJALI YA MOTO MOROGORO WAFARIKI DUNIA | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, August 15, 2019

MAJERUHI WENGINE 3 AJALI YA MOTO MOROGORO WAFARIKI DUNIA

  Malunde       Thursday, August 15, 2019

Majeruhi watatu kati ya 32 waliokuwa wanaotibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dar es Salaam  wamefariki dunia.
 

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Stephen Kebwe amesema majeruhi hao wamefariki jana jioni Jumatano Agosti 14, 2019 hivyo kufanya  idadi ya waliofariki kufikia 85.

Mkuu huyo wa mkoa amesema majeruhi 16 waliolazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Morogoro wanaendelea vyema huku akiwaomba ndugu kujitokeza kuwajulia hali majeruhi hao pamoja na wale waliopo Muhimbili.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post