Picha : MWANDISHI WA HABARI SUMAI SALUM AFUNGA PINGU ZA MAISHA | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, July 28, 2019

Picha : MWANDISHI WA HABARI SUMAI SALUM AFUNGA PINGU ZA MAISHA

  Malunde       Sunday, July 28, 2019
Mwandishi wa Habari Sumai Mgaya Salum aliyekuwa anafanyaka kazi katika kituo cha Matangazo Divine Fm iliyopo Mjini Kahama mkoani Shinyanga amefunga ndoa na mpenzi wake Isack Jonas Luhiye.

Ndoa hiyo imefungwa jana Jumamosi Julai 27,2019 imefungwa katika  Kanisa Katoliki la Mtakatifu Karoli Lwanga Jimbo la Kahama na kufuatiwa na sherehe iliyofanyika katika ukumbi Niteshi uliopo Mjini Kahama.

Bi. Harusi Sumai Mgaya Salum katikati akikata keki na Bw. Harusi Isack Jonas Luhiye. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog
Bw. Harusi Isack Jonas Luhiye akiteta jambo na mkewe Sumai Salum 
Bw. Isack Jonas Luhiye akiwa na mkewe Sumai Salum.
Bw. Harusi Isack Jonas Luhiye akitoa neno wakati akifunga ndoa na Sumai Salum.
 Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post