ORODHA YA SHULE 10 ZA MWISHO MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019

Shule ya Sekondari ya Nyamunga ya mkoani Mara imeshika namba moja kati ya shule 10 zilizofanya vibaya kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2019.

Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Julai 11, 2019 na katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde.

Katika orodha hiyo kuna shule nne za Mjini Magharibi  visiwani Zanzibar ambazo ni Kiembesamaki A Islamic, Mpendae, Tumekuja na Haile Selassie.

==>>Hizi ni Shule 10 za Mwisho Kitaifa
1.    Nyamunga, Mara.

2.    Haile Salassie Mjini Maghari.

3.    Tumekuja,mjini Magharib

4.    Bumaangi,mara

5.    Butuli,mara

6.    Mpendae, Mjini Magharib

7.    Eckernford, Tanga.

8.    Msimbo, Katavi.

9.    Mondo, Dodoma.

10. Kiembe Samaki A Mjini Magharib

1.Kutazama matokeo ya Kidato cha Sita  <<BOFYA HAPA>>

2.Kutazama Matokeo Ya Mtihani Wa Ualimu 2019  <<BOFYA HAPA>>

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post