KAULI YA KWANZA YA JANUARY MAKAMBA BAADA YA KUTUMBULIWA NA RAIS MAGUFULI


Rais Magufuli ametengua uteuzi wa January Makamba ambaye alikuwa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.

Nafasi hiyo kwa sasa Kapewa George Simbachawene. Kupitia Ukurasa wake wa Twitter, Makamba kaweka picha yake akiwa na mzee Mwinyi na kuandika; Kwa kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo mweupe kabisa kabisa 😊. Nitasema zaidi siku zijazo. 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527