BASHE, SIMBACHAWENE KUAPISHWA LEO


Rais Magufuli atawaapisha mawaziri wateule ambao ni Mh. George Simbachawene kuwa Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na Mhe.
Hussein Bashe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo, leo Julai 22, 2019, kuanzia saa 2:30.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527