WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MARY WAMJULIA HALI MAMA MARIA NYERERE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakimjulia hali Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es salaam, Juni 9, 2019.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527