WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR KUFUATIA KIFO CHA MKE WA KATIBU MKUU HUYO


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Naibu Katibu Mkuu wa CCM – Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi ambaye amefiwa na Mkewe, Dkt. Badriya Abubakar Gurnah wakati alipokwenda nyumbani kwa wazazi wa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam Juni 23, 2019 kutoa pole kwa familia.
Katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527