Video : MKE WA ASKOFU GWAJIMA ASEMA ANAFAHAMU UKWELI KUHUSU VIDEO YA NGONO INAYOSAMBAA MTANDAONI

Leo  Jumatano May 8, 2019, Askofu Gwajima ameita waandishi wa habari kuongelea video ya ngono inayosambaa mitandaoni. Gwajima amekana kuhusika na video hiyo. Amesema imetengenezwa kwa lengo la kumchafua.

Katika mkutano huo, mke wa Gwajima alipata nafasi ya kuongea yafuatayo:“Mimi ni Jasiri kama Simba, ukweli ninaufahamu, Mume wangu ninamfahamu na ninamuamini, na ukweli huo hakuna anayeweza kuubadilisha, niko pamoja na yeye, nitasimama na yeye na Mungu akiwa upande wetu hakuna atakayeweza kuwa juu yetu"

Msikilize hapo chini


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527