KAMPUNI YA UDA-RT, YASITISHA HUDUMUMA YA MABASI YA MWENDO KASI | MALUNDE 1 BLOG

Monday, May 13, 2019

KAMPUNI YA UDA-RT, YASITISHA HUDUMUMA YA MABASI YA MWENDO KASI

  Malunde       Monday, May 13, 2019

Taarifa kwa umma
Kampuni ya UDA-RT inautaarifu umma kuwa huduma za mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, imesitisha huduma zake kati ya Kimara - Kivukoni, Kimara - Gerezani, Morroco - Kivukoni na Morroco - Gerezani kuanzia saa 10: 30 alfajiri leo Jumatatu Mei 13, 2019, kufuatia kujaa maji katika eneo la Jangwani. 


Huduma zinazotolewa sasa ni kati ya Kimara - Mbezi, Kimara - Magomeni Mapipa, Kimara - Morroco, Gerezani - Muhimbili, Kivukoni - Muhimbili na Gerezani - Kivukoni. 


Tunaendelea kufuatilia hali ya maji katika eneo husika, maji yakipungua huduma zitarejea katika hali ya kawaida. Tunaomba radhi kwa usumbufu unatokana na kusitishwa kwa safari hizo.

Deus Bugaywa
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano UDA-RT.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post