Picha : RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAFINGA AKIELEKEA IRINGA…KIJANA ANAYEIGA SAUTI ‘ANKO MAGU’ ATISHA



 Baraka Mwakipesile (AnkoMagu) wa Mafinga ambaye anaigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli akizungumza mara baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.Picha na Ikulu




Rais Magufuli akimsikiliza kijana Baraka Mwakipesile (AnkoMagu) wa Mafinga ambaye anaigiza sauti ya RaisDkt. Magufuli mara baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mafinga mara baada ya kuwasili wakati akitokea Makambako mkoaniNjombe.


Baraka Mwakipesile (Anko Magu) Kijana anayeigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli akipiga makofi wakati   Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia.

Umati wa Wananchi wa Mafinga wakimsikiliza Rais Magufuli.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527