Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari akifungua mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama katika Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume (AAKIA) na Kilimanjaro(KIA) zilizopendekezwa na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO) uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Wadau wa Usafiri wa Anga wakifuatilia wasilisho la Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO) kwenye mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume (AAKIA) na Kilimanjaro (KIA) ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na kufanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uendeshaji na Ufundi wa KADCO Mhandisi Martin Kinyamagoha akizungumza kwenye mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama katika Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume(AAKIA) na Kilimanjaro(KIA) zilizopendekezwa na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO).
Mkurugenzi wa Viwanja ZAA, Zaina Ibrahim Mwalukuta akizungumza kwenye mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama katika Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume(AAKIA) na Kilimanjaro(KIA) zilizopendekezwa na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO).
Meneja Usalama wa KADCO , Kisusi Justine Makomondi akiwasilisha pendekezo kwa wadau katika mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama katika Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume(AAKIA) na Kilimanjaro (KIA) zilizopendekezwa na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO).
Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti wa Huduma Viwanjani, Mhandisi Wales Cassius Chiwawa akifuatilia wasilisho la Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO) kwenye mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume (AAKIA) na Kilimanjaro (KIA) ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na kufanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza Johari (kulia) akizungumza na Mwandishi wa Habari wa Televisheni ya Azam, Temaluge Kasuga, kwenye mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama katika Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume(AAKIA) na Kilimanjaro(KIA) zilizopendekezwa na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO).
Mkuu wa Kitengo cha Usalama Usafiri wa Anga TCAA , Burhan Majaliwa (kulia) akiongea na wadau katika mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama katika Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume(AAKIA) na Kilimanjaro(KIA) zilizopendekezwa na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO).