Thursday, March 7, 2019

JUKWAA LA MAWASILIANO YA AFYA KWA WATU WAZIMA 'NAWEZA' LAZINDULIWA MWANZA

  Malunde       Thursday, March 7, 2019


Kaimu Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Esther Mariki akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa jukwaa la mawasiliano ya afya kwa watu wazima liitwalo NAWEZA lililo chini ya mradi wa USAID TULONGE AFYA. Uzinduzi huo ulifanyika jana Machi 06, 2019 Jijini Mwanza, lengo likiwa ni kuhamasisha utekelezaji wa afya mbalimbali ili kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi pamoja na watoto chini ya miaka mitano.
Kaimu Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Esther Mariki akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa jukwaa la Naweza.
Kaimu Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Esther Mariki akizungumza kwenye uzinduzi huo.
Kaimu Katibu Tawala mkoani Mwanza, Emily Kasagara akizungumza kwenye uzinduzi huo.
Ukumbusho wa picha na viongozi mbalimbali.

Tazama BMG Online TV hapa chiniUsikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post