NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA ATOA MSAADA WA MIFUKO SARUJI KIPAWA


Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa akikabidhi mifuko 30 ya Saruji kwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kata ya Kipawa kwa ajili ya kukarabati ofisi za chama hicho.
Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenye ulemavu,Stella Ikupa akizungumza na wakazi wa Kipawa na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kabla ya kugawa Mifuko 30 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kipawa ambayo inatraji kufanyiwa ukarabati.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala(UWT),Amina Dodi akitoa neno kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzungumza.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala,Bora Hassan akitoa utambulisho wa Viongozi wa meza kuu.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Kipawa Adiriano Komba akizungumza na kutoa shukrani kwa niaba ya wakazi wa Kipawa.
Wananchi wa Kipawa waliohudhuria katika Mkutano wa Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na  ,Stella Ikupa. Picha zote na Humphrey Shao

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post