MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA MAZISHI YA MTOTO WA WAZIRI KIGWANGALLA | MALUNDE 1 BLOG

Friday, February 22, 2019

MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA MAZISHI YA MTOTO WA WAZIRI KIGWANGALLA

  Malunde       Friday, February 22, 2019
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan ameongoza shughuli za mazishi ya Zulqarinain mtoto wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Hamisi Kigwangalla yaliyofanyika leo Ijumaa Februari 22, 2019 saa kumi jioni katika kijiji cha Puge, Nzega vijijini jimboni kwa Waziri Kigwangalla.

Mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo baadhi ya Mawaziri, Manaibu Waziri Wabunge pamoja na Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii.

Marehemu Zul alifikwa na mauti jana majira ya saa nne asubuhi JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa akiwa anasumbuliwa na tatizo la moyo.

#R.I.P Zul.

Inna lillahi wainna illaihi rajiuun

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post