Friday, January 11, 2019

DAKIKA 90 SIMBA, MALINDI HAKUNA MBABE...SIMBA WATOBOA KWA PENATI 3-1

  Malunde       Friday, January 11, 2019
Dakika 90 za Mchezo wa nusu fainali ya pili kati ya Simba na Malindi katika kombe la Mapinduzi zimemalizika haku na na aliyeona lango la mwenzake katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.


Baada ya timu zote kutunishiana misuli,wameenda kwenye mikwaju ya penati ambapo Simba wamepata mabao 3 huku Malindi FC wakipata bao 1.

Simba SC wametinga Fainali watakipiga na Azam Fc siku ya Jumapili Januari 13,2019 katika mchezo wa fainali.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post