NECTA YATOA UFAFANUZI KUHUSU MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018


Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Charles Msonde amesema bado hawajatangaza matokeo ya kidato cha nne na kuwataka Wananchi kuachana na taarifa feki zilizosambazwa katika mitandao.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Charles Msonde amesema bado hawajatangaza matokeo ya kidato cha nne na kuwataka Wananchi kuachana na taarifa feki zilizosambazwa katika mitandao.

Akizungimza na Nipashe Msonde alisema kuna baadhi ya watu ambao sio waaminifu na kazi yao ni kutengeneza taharuki kwa wananchi pasipo na sababu za msingi.

"Bado hatujatangaza matokeo na muda ukifika tutawatangazia kama ilivyo kwa miaka mingine na wananchi mtapata taarifa naomba muachene na taarifa feki katika mitandao," alisema Dk Msonde.

Via Nipashe

MALUNDE1 BLOG ITAKUTUMIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MARA TU YATAKAPOTANGAZWA... 

Tembelea Mara kwa mara Mtandao huu...Lakini kama wewe ni  mjanja pakua App Yetu ili tuwe tunakutumia habari zote moja kwa moja kwenye simu yako ...Ingia Play store kisha Andika Malunde 1 blog halafu bonyeza Install 

https://bit.ly/2Qb7qyF

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527