Usisumbuke : NJIA RAHISI KABISA YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018 NA DARASA LA NNE KAMA UNATUMIA SIMU YA MKONONI HII HAPAMatokeo ya Upimaji wa Kitaifa ya Kidato cha Pili (FTNA) 2018 Na Darasa la nne (SFNA) 2018 yametangazwa.
Watumiaji wengi wa simu za mkononi hata wale wanaotumia computer/laptop wamejikuta wakishindwa kuona matokeo kutokana na jinsi yalivyopangiliwa.

Malunde1 blog tupo kwa ajili ya kukuhudumia.

Kama unatumia simu
1.Fungua link ya matokeo 

2.Angalia juu kulia kwenye simu yako,utaona vidoti vitatu 

3.Bonyeza penye vidoti utaona sehemu imeandikwa Find in page

4.Bonyeza palipoandikwa Find in page utaona  sehemu ya kuandikia...kisha andika jina la Shule unayotaka...kiulaini kabisa utaona unachokitaka.

 Kama unatumia Computer/Laptop

1.Fungua link ya matokeo 

2. Shikilia palipoandikwa CTRL na F

3.Utaona kibox ambapo utaandika jina la shule unayotaka

 Angalia matokeo hapa chini 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post