MSANII WA HIPHOP 'WAKAZI' AWACHANA BASATA NA DIAMOND, MSITAKE KUKWAMISHA SANAA YA BIASHARA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya katika miondoko ya Hip Hop, Wakazi ameweka wazi hisia zake kwa Diamond na Rayvann baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwapunguzia adhabu wasanii hao kutoka lebel ya WCB kwa kuwaruhusu kufanya matamasha ya nje.

Katika ukurasa wake wa Instagram Wakazi amewaomba Basata kuangalia namna bora ya kushirikiana na wasanii wote katika kuhakikisha wanafanya kazi zao vizuri na kuacha kukwamisha biashara ya muziki kwa kisingizio cha sera za utamaduni kwa mgongo wa Maadili na Desturi. 

Aidha wakazi amemtaka Diamond kuacha kujitenga na wasanii wenzake kwa kutoshiriki vikao vya kujadili namna ya kuboresha mazingira ya sanaa nchini Tanzania kwani angeshiriki hapo awali katika mapambano ya kuishape Basata yasingemkuta yaliyomkuta. 

Soma hapa chini alichokiandika Wakaziwakazimusic's profile picture

Image may contain: 1 person, beardLiked by likudaz and 1,376 others

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post