APANDIKIZWA SURA MPYA BAADA YA KUJARIBU KUJIUA KWA RISASI

Cameron Underwood anasema hakumbani sana na watu wanaomkodolea macho wale kumuuliza maswali tangu amabandikiziwe uso.


"Niko na pua na mdomo kwa hivyo ninaweza kutabasamu, kuongea na kula chakula kigumu tena," anasema.

Cameron alikuwa azingumza miaka miwili baada ya kujipiga risasi alipojaribu kujiua mwaka 2016.

Alipoteza pua lake, sehemu kubwa ya chini ya mdomo na meno yake yote isipokuwa moja tu katika kisa hicho.

"Ninashukuru sana kwa upasuaji huu wa kupandikizwa uso kwa sababu imenipa fursa ya pili ya maisha," mwanamume huyo mwenye miaka 26 alisema kwneye mkutano wa waandishi wa habari huko New York Marekani siku ya Alhamisi.

Chanzo:Bbc

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post