Wednesday, November 28, 2018

Picha : RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA THABO MBEKI NA WAZIRI WA MAENDELEO WA KIMATAIFA WA NORWAY

  Malunde       Wednesday, November 28, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam,Novemba 28,2018 .PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu kabla ya kuagana nae Ikulu Jijini Dar es salaam Novemba 28,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam Novemba 28,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu wakati anazungumza na Wanahabari (hawapo pichani) Ikulu Jijini Dar es salaam Novemba 28,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam,Novemba 28,2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya kumaliza mazungumzo na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu .Ikulu Jijini Dar es salaam.Novemba 28,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya kumaliza mazungumzo na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu .Ikulu Jijini Dar es salaam,Novemba 28,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bwana Barrister Akere Muna aliyeambatana na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam.Novemba 28,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia sahini kwenye kitabu cha Barrister Akere Muna aliyeambatana na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam,Novemba 28,2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu(watatu kutoka kushoto) kutoka kulia kwa mhe.Rais Magufuli ni Bw.Barrister Akere Muna,Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Dkt.Damas Ndumbaro,Bi Mojanko Gumbi (Wapili kutoka kulia )Wakili wa Mhe.Thabo Mbeki, na Balozi Zuhura Bundala (wakwanza kutoka kushoto) Ikulu Jijini Dar es salaam,Novemba 28,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 28,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 28,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 28,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Mazungumzo hayo yamehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Afrika mashariki Dkt.Damasi Ndumbaro,Naibu waziri wa Kilimo Omary Mgumba pamoja na Balozi wa Norway nchini Elisaberth Jacobsen Novemba 28,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup , Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Afrika mashariki Dkt.Damasi Ndumbaro,Naibu waziri wa Kilimo Omary Mgumba pamoja na Balozi wa Norway nchini Elisaberth Jacobsen, Novemba 28,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya kumaliza mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup , Ikulu Jijini Dar es salaam Novemba 28,2018
Picha na Ikulu


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post