Patashika ya Ligi kuu soka Tanzania bara kuendelea Leo kwa mechi tatu kuzishuhudia
JKT TANZANIA VS AZAM FC
TZ PRISONS VS AFRICAN LYON
SIMBA SC VS ALLIANCE
Je Alliance FC wataweza kuizuia Simba SC leo, ama wataendelea kuchezea kichapo?
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527