Tuesday, September 4, 2018

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA NAIBU GAVANA WA JIMBO LA JIANGSU NCHINI CHINA

  msumbanews       Tuesday, September 4, 2018

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Gavana wa Jimbo la Jiangsu nchini China, Bw. Guo Yuan Qiang kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing, Septemba 3, 2018. Waziri Mkuu yupo nchini China kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika - FOCAC.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu nchini China, Bw. Guo Yuan Qiang (kushoto) kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China, Septemba 3, 2018. Waziri Mkuu yupo nchini China kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika - FOCAC. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu nchini China, Bw. Guo Yuan Qiang kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing, Septemba 3, 2018. Waziri Mkuu yupo nchini China kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika - FOCAC. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post