Thursday, September 27, 2018

UEFA YAMFUNGIA CHRISTIANO RONALDO

  Malunde       Thursday, September 27, 2018
Shirikisho la soka Ulaya UEFA baada ya kuanza kuenea kwa tetesi kuwa staa wa Juventus Cristiano Ronaldo kuna uwezekano akakosa mechi zaidi ya moja za michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2018/19 kwa kuoneshwa kadi nyekundu, UEFA leo imetoa tamko.
UEFA wametangaza kuwa kufuatia kitendo cha Ronaldo kuoneshwa kadi nyekundu katika mchezo wa kwanza wa Champions League dhidi ya Valencia kwa kumchezea madhambi Jeison Murillo, wengi walianza kuhisi kuwa kuna uwezekano Ronaldoakaongezewa adhabu zaidi kwa kudaiwa kukusudia.
Hivyo kwa maamuzi ya UEFA yaliyotangazwa leo ni kuwa Ronaldo atatumikia adhabu ya kukosa mchezo mmoja pekee dhidi ya Young Boys lakini game zilizosalia atakuwa na nafasi ya kucheza, hivyo Ronaldo atakuwa na nafasi ya kucheza game zote mbili za nyumbani na ugenini dhidi ya timu yake ya zamani ya Man United.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post