Wednesday, September 5, 2018

GUMZO LA DIAMOND KUTAKA KUROGWA : SHILOLE NAYE AMCHANA

  Malunde       Wednesday, September 5, 2018
Bado kile kinachodaiwa kuwa Hamisa Mobetto alitaka kumroga Diamond Platnumz na familia yake kinazidi kuchukua nafasi kwenye mitandao ya kijami.

Mjadala umekuwa mpana hasa kwa kauli aliyoitoa jana Diamond kupitia Wasafi TV ingawa upande wa Hamisa amekuwa kimya kwenye suala hilo.

Sasa muimbaji Shilole hajawa nyuma kwenye hilo ameposti picha ya Diamond Platnumz (ipo chini) na kuisindikizia na caption iliyosema;'Ndio maana wanakuroga, medamshi sana kaka yangu Diamond Platnumz,'.
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amezaa mtoto mmoja na Diamond Platnumz na utakumbuka hadi muimbaji huyo anakiri kuwa amezaa na Hamisa ilikuwa ni baada ya mvutano mrefu na hii ni kutokana kipindi hicho Diamond bado alikuwa na mahusiano na Zari.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post