SPIKA AHUDHURIA SEMINA YA UZAZI NA MALEZI BORA JIJINI DODOMA


Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akimsikiliza kwa makini mwezeshaji katika semina ya uzazi na malezi bora iliyoandaliwa na Chama cha UMATI kwaajili ya wabunge iliyofanyika jana jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akifungua semina ya uzazi na malezi bora iliyoandaliwa na Chama cha UMATI kwaajili ya wabunge iliyofanyika jana jijini Dodoma.
Wabunge wakimsikiliza kwa makini Spika katika semina ya uzazi na malezi bora iliyoandaliwa na Chama cha UMATI kwaajili ya wabunge iliyofanyika jana jijini Dodoma.
Waheshimiwa wabunge wakipata picha ya pamoja na Spika Mhe Job Ndugai ambaye alikuwa ni mgeni rasmi katika semina iliyoandaliwa na UMATI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527