HAYA HAPA MAJINA YA MAKATIBU TAWALA WAPYA WA WILAYA WALIOTEULIWA LEO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uteuzi wa baadhi ya Makatibu Tawala wa Wilaya katika Ukumbi wa mikutano wa Utumishi jijini Dar es Salaam leo Agosti 5,2018.

Theme images by rion819. Powered by Blogger.