
Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli siku walipokwenda kumjulia hali King Majuto katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.
***
Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kufuatia kifo cha Msanii Mkongwe nchini Tanzania Mzee Amri Athuman maarufu kwa jina la King Majuto kilichotokea leo tarehe 08 Agosti 2018 jijini Dar es salaam.

Social Plugin