GARI LA IKULU KENYA LAIBIWA..WABONGO WAWILI WADAKWA NALO MOSHI

Jeshi la polisi linawashikilia watu wawili wakazi wa Moshi kwa kukutwa na gari inayosadikiwa kumilikiwa na Ikulu ya Nairobi nchini Kenya ambayo inasadikiwa kuibwa nchini Kenya tarehe 19 Agosti,2018.

Gari aina ya Nissan V8 yenye Namba za Usajili KCP 184 RV. Lakini ilikuwa imebandikwa T954 DEQ ilikamatwa ikiwa njiani ikielekea Kilimanjaro ikitokea nchini Kenya. Tarehe 19 kulikuwa na taarifa ya gari aina ya V8 kuibiwa Kenya.


==>>Sikiliza kila kitu hapo chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527