Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Taifa Kahama, Julai 15, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Taifa Kahama mkoani kuhutubia mkutano wa hadhara, Julai 15, 2018. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin