RAIS MAGUFULI AMTEUA MWAMUNYANGE KUWA MWENYEKITI DAWASAAmiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. John Magufuli (kushoto), wakiteta jambo na Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali Davis Mwamunyange.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jen. Mstaafu Davis Mwamunyange kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA).

Jen. Mstaafu Mwamunyange ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Mstaafu. Uteuzi wa Jen. Mwamunyange unaanza leo tarehe 07 Julai, 2018.

Theme images by rion819. Powered by Blogger.