Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU AWASILISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU YA MWAKA 2026/2027


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa fedha 2026/2027 ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Taasisi zake.
Mhe. Dkt. Nchemba amewasilisha Bajeti tarehe 01 Aprili 2026 wakati wa Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Pili jijini Dodoma. ‎

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com