Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiufanyia majaribio upinde aliozawadiwa na wazee wa mila wa Kisukuma katika kijiji cha Tinde mkoani Shinyanga kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Kituo cha Afya cha Tinde Julai 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Kituo cha Afya cha Tinde mkoani Shinyanga kuhutubia mkutano wa hadhara, Julai 14, 2918. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wazee wa Mila wa Kisukuma wakimsikiliza Waziri Mkuu ,Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Kituo cha Afya cha Tinde ya Tinde mkoani Shinyanga, Julai 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Mila wa Kisukuma baada ya wazee hao kumpa heshima ya kuwa Mzee mwenzao katika mkutano wa hadhara aliouhutubia katika uwanja wa Kituo cha Afya cha Tinde mkoani Shinyanga, Julai 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Social Plugin