Mke wa Mtangazaji wa Clouds FM katika kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde anayejulikana kwa jina la Sara Kibonde amefariki dunia.
Kwa mujibu wa mtangazaji mwenzake, Gadner G. Habash amesema kuwa mke wa Kibonde aitwaye Sara amefariki usiku huu akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Hindu Mandal.
Social Plugin